Header Ads

test

Neema Iokoayo!!

  Karibuni Neema Iokoayo.Tumehamia na huku ili kuonyesha mijadala yote ya Neno la Mungu .Mijadala yetu imeegemea kwenye maana ya maneno ya Mungu yanayookoa na siyo ,mabishano yaletayo ubishi wa kijumuiya,kidini ,kijamii au kitaifa.

  Kutoka kwa mwanzilishi wetu .Mr Nathanael Chaligha.Ambaye ni mwalimu wa Neno la Mungu kwa muda wa zaidi ya miaka thelathini,tutajifunza mengi,kaa mkao mkao wa kula.
   

2 comments:

Powered by Blogger.